🌹 JIUNGE NA UTUME WA NGUVU YA ROZARI 🌹
Kaulimbiu: “Tenda Huruma, Sala Rozari, Uishi Upendo.”
Je unataka kuwa sehemu ya familia inayoweka Upendo wa Mungu katika vitendo?
Shirika la kidini Nguvu ya Rozari linakualika kujiunga na utume wa kueneza imani, huruma na matumaini kwa wale wanaohitaji zaidi.
🤝 Kujiunga na Nguvu ya Rozari ni:
-
Kusali Rozari pamoja na familia na jamii,
-
Kutenda matendo ya huruma kwa wagonjwa, watoto yatima, na maskini,
-
Kueneza ujumbe wa upendo, amani, na mshikamano.
🌟 Tenda wema, Sala Rozari, Uishi Upendo.
Jiunge nasi leo, uwe mwanga kwa wengine na kielelezo cha upendo wa Kikristo.
#NguvuYaRozari #UtumeWaRozari #MatendoYaHuruma #KuenezaUpendo #SalaNiNguvu #JiungeLeo
